17 Dec 2025 1:41 pm | Citizen TV 445 views Duration: 1:13 Gavana wa kaunti ya Machakos, Wavinya Ndeti, aliandaa sherehe maalum ya krismasi kwa watoto katika ofisi yake, ikiwa ni sehemu ya kueneza furaha na upendo wakati wa msimu wa sikukuu.