Skip to main content
Skip to main content

Sheikh Eid Ali adaiwa kuwalawiti watoto 12 Nyeri

  • | Citizen TV
    11,712 views
    Duration: 1:59
    Polisi katika eneo la Othaya kaunti ya Nyeri wamepewa idhini ya kumzuia kwa siku 10 zaidi Sheikh Eid Ali, kwa madai ya kuwalawiti Watoto 12, kati ya mwaka wa 2022 na 2025, walipokuwa wakihudhuria mafunzo ya kidini