Sherehe maalum za kuadhimisha kuanzishwa kwa misitu zaandaliwa na wazee wa kaya tiwi

  • | Citizen TV
    213 views

    Kila mwaka sherehe za kuadhimisha kuanzishwa kwa misitu tofauti ya kaya hufanyika katika maeneo ya kaya hizo husika. Wazee wa kaya tiwi katika kaunti ya Kwale wameandaa sherehe za kuadhimisha miaka 720 tangu kuanzishwa kwa kaya hiyo. Sherehe hizo zilishuhudia nyimbo za kitamaduni zenye maana tofauti