Shilingi Bilioni 11 zapotea kwenye Mfumo wa E-Citizen, wabunge wataka ufungaji wa mfumo huo

  • | Citizen TV
    1,311 views

    HUENDA SHILINGI BILIONI 11 ZIMEPOTEA KWENYE MFUMO WA SERIKALI WA MALIPO YA E-CITIZEN. RIPOTI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI INAONYESHA KUWA SERIKALI HAIMILIKI MFUMO HUO KIKAMILIFU. WABUNGE WA KAMATI YA BUNGE KUHUSU UHASIBU SASA WAKITAKA MFUMO HUO KUFUNGWA MARA MOJA, WAKIUTAJA KAMA UPORAJI WA MALI YA UMMA