Shirika la Ahadi Kenya Trust lazindua kisima cha maji Voi

  • | Citizen TV
    40 views

    Wakazi zaidi ya 4,000 wa eneo la Voi watanufaika na kisima kipya cha maji kilichozinduliwa na shirika la Ahadi Kenya, hatua inayolenga kupunguza uhaba wa maji uliodumu kwa miaka mingi