Shirika la Faith Kenya Mission la chimba kisima cha maji Makueni

  • | Citizen TV
    214 views

    Huku taifa linapoendelea kupambana na ukame na baa la njaa ,serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali yanafanya kila juhudi kusambaza msaada Kwa walioathirika zaidi.