Shirika la msalaba mwekundu lazindua kituo cha Majanga

  • | Citizen TV
    359 views

    Shirika la Msalaba mwekeundu kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Lamu limezindua ujenzi wa kituo maalum kitakachotumika kuhifadhi vyakula,dawa na malazi ili kukabiliana na majanga