Shirika la Search for Common Ground lazindua mradi wa Mwanamke Imara

  • | TV 47
    14 views

    Shirika la Search for Common Ground lazindua mradi wa Mwanamke Imara.

    Mradi huo unalenga kuzuia visa vya itikadi kali kaunti ya Kwale.

    Wanawake katika idara ya usalama na taasisi za mahakama watahusishwa.

    Wanawake hao watapokea mafunzo ya kudhibiti itikadi miongoni mwa vijana.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __