Shirika la USAID lazindua mradi wa kuboresha sekta ya afya nchini

  • | Citizen TV
    386 views

    Mradi huu ni mpango wa miaka mitano, wenye lengo la kuboresha huduma za afya kwa kufanya mifumo ya afya ya kaunti kuwajibika na kupewa ufadhili zaidi. Kaunti zinazolengwa na mradi huu ni kaunti za Isiolo, Kakamega,Kilifi, Mombasa na Nakuru