Shirika la Water Mission laanza juhudi za kupambana na mila potovu kaunti ya West Pokot

  • | Citizen TV
    116 views

    Shirika la water mission limeanzisha harakati za kuhamasisha wenyeji wa eneo la chepkobe kaunti ya pokot magharibi ili kusaidia kueneza maadili katika eneo hilo kwa kutoa mafunzo.