- 159 viewsDuration: 3:27Baada ya shughuli nyingi za krismasi hapo jana katika eneo la katikati mwa jiji la Nairobi uchunguzi uliofanywa na runinga ya KBC Channel one leo ulibainisha kuwa maeneo mengi yenye shughuli nyingi yalisalia mahame huku kukiwa na idadi ndogo tu ya watu. Barabara ambazo kabla ya krismasi zilikuwa na misongamano mikubwa ya magari zilisalia wazi huku biashara zikinakili shughuli chache leo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive