21 Aug 2025 1:15 pm | Citizen TV 551 views Duration: 51s Makaburi 27 imeratibiwa kufukuliwa katika eneo hilo. Shughuli hiyo inayoongozwa na maafisa wa kitengo cha mauaji imeanza rasmi kufuatia ruhsa ya mahakama kwa maafisa wa upelelezi kufukua makaburi.