Skip to main content
Skip to main content

Shughuli ya kuwasajili makurutu wa polisi yasalia kusimamishwa

  • | KBC Video
    195 views
    Duration: 3:49
    Wakenya waliokuwa na matumaini ya kujiunga na tume ya kitaifa ya polisi watalazimika kusubiri kwa muda zaidi. Hii ni baada ya mahakama ya kushughulikia masuala ya ajira na leba kusema itatoa uamuzi wake kuhusu shughuli ya kuwasajili makurutu wa polisi katika siku tisa zijazo baada ya kusikiliza ombi la kusimamisha shughuli hiyo. Kesi hiyo iliwasilishwa na aliyekuwa mbunge wa Kilome Harun Mwau akitaka huduma ya kitaifa ya polisi izuiwe kushiriki katika shughuli hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive