- 4,105 viewsDuration: 2:59Shughuli ya ubomoaji katika mtaa wa Makongeni hapa Nairobi inaendelea huku wakazi wakiondoka shingo upande. Hata hivyo, baadhi ya wakazi wanalalamika kuwa bado hawajapata fidia ya laki moja unusu waliyokuwa wakipewa. Serikali inapania kuendesha mradi wa nyumba katika eneo hili la ardhi ya ekari 139, kama Gatete Njoroge anavyotuarifu