- 96 viewsDuration: 1:34Huku shughuli ya usajili wa wapiga kura ikiendelea kote nchini, imebainika kuwa katika kaunti ya Elgeyo Marakwet changamoto kuu inayokabili zoezi hilo ni baadhi ya vijana kutotembea na vitambulisho vyao na wengine wakiwa hawana vitambulisho hivyo.