Shughuli za bunge la Murang'a zimesitishwa hii leo

  • | Citizen TV
    457 views

    Shughuli za bunge la Murang'a zimesitishwa hii Leo asubuhi kufuatia vurugu za hapo jana wakati wa kikao cha kufanya mabadiliko ya usimamizi wa bodi ya wafanyikazi wa bunge.