- 253 viewsDuration: 2:44Serikali imendelea kushinikizwa kutoa fedha za kufadhili shule za upili na msingi kwani kuendelea kucheleweshwa kwa fedha hizo kunaendelea kulemaza utendakazi wa shule mbali mbali hali ambayo huenda ikaathiri hata matokea ya wanafunzi mwishoni mwa mwaka.