Shughuli za kibiashara zaathirika jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    4,846 views

    Shughuli za biashara katikati mwa jiji la nairobi ziliathirika pakubwa, wafanyibiashara wakifunga biashara zao kuhofia maandamano ya leo ya kulalamikia gharama ya juu ya maisha. Afisi na biashara nyingi zilisalia kufungwa huku usafiri wa umma katikati mwa jiji ukishuhudia idadi ndogo ya wasafiri