17 Sep 2025 10:34 am | Citizen TV 89 views Duration: 1:57 Kamishna wa ukanda wa magharibi ya kenya Irungu Macharia amewataka wanasiasa na watu wenye hila mbaya kukoma kueneza porojo kwamba kiwanda cha karatasi cha panpaper hakifanyi kazi.