28 Oct 2025 10:17 am | Citizen TV 263 views Duration: 1:43 Hali ya sintofahamu imezidi kutanda katika ofisi za Shirika la Posta mjini Kitale, baada ya wafanyakazi kususia kazi kwa siku ya pili mfululizo wakilalamikia kutolipwa mishahara yao kwa zaidi ya miezi saba sasa.