21 Jul 2026 11:16 am | Citizen TV 139 views Duration: 2:00 Hazina ya ustawishaji eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta yalenga kuimarisha miundo msingi katika shule zote 69 za msingi huku ikilenga zaidi ujenzi wa madarasa sawa na maabara ya kisasa.