Shule ya msingi ya Igoji yateketezwa kufuatia mzozo kati ya kanisa na jamii

  • | Citizen TV
    1,181 views

    Wasimamizi wa Shule ya Msingi ya Igoji wanakadiria hasara ya zaidi ya milioni 20 kutokana na uvamizi tangu wiki Mbili zilizopota. Uvamizi huo unaotokana na uhasama kati ya shule hiyo na jamii ya Igoji.