- 9 viewsWanafunzi wa shule ya upili ya wasichana ya Moi Girls jijini Nairobi wamekuwa na sababu ya kutabasamu baada ya mwalimu mkuu wa shule hiyo Margaret Njaggah kuwapa maua na zawadi nyingine kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wapendenao almaarufu ‘Valentines Day’. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive