Skip to main content
Skip to main content

Shule ya umma ya Plateau imeanza kufanyiwa ukarabati Uasin Gishu

  • | Citizen TV
    341 views
    Duration: 3:31
    Ilikuwa furaha na vigelegele katika shule ya umma ya msingi ya plateau kaunti ya Uasin Gishu baada ya shirika la Safaricom kuanza ujenzi upya wa madarasa 12 kutoka darasa la chekechea hadi darasa la kumi. Shule hiyo ambayo iko katika hali mbaya tayari imeanza kubomolewa na itakamilika chini ya miezi 8 ijayo.