Skip to main content
Skip to main content

Shule ya upili ya Booth, Kiambu yafungwa kwa madai ya wanafunzi kudhulumiwa kimapenzi

  • | KBC Video
    5,338 views
    Duration: 3:36
    Shule ya upili ya Booth huko Kikuyu,kaunti ya Kiambu,imefunga kufuatia madai ya wanafunzi kudhulumiwa kingono.Hatua hiyo inajiri polisi wakichunguza madai hayo huku tayari mkuu wa shule hiyo pamoja na mwenyekiti wa bodi ya usimamizi wakiwa wametiwa nguvuni kusaidia makachero katika uchunguzi wao. Aaron Marie anaturipotia zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive