Skip to main content
Skip to main content

Shule ya upili ya Kabarak yazoa alama ya wastani 10.59 katika KCSE 2025

  • | Citizen TV
    710 views
    Duration: 3:02
    Baadhi ya shule za upili katika sehemu tofauti nchini zimenakili matokeo bora kwenye mtihani wa kitaifa wa KCSE.shule ya upili ya moi kabarak ikiwa na alama ya wastani ya 10.59, ambayo ni alama ya juu zaidi kunakiliwa kwenye mtihani wa kitaifa wa mwaka 2025.