6 Aug 2026 1:51 pm | Citizen TV 112 views Duration: 1:10 Shule ya upili ya Mully's children kutoka ukanda wa kati imenyakuwa ubingwa wa mchezo wa baseball kwa shule za upili ulioandaliwa thika kaunti ya Kiambu.