Baadhi ya viongozi kutoka eneo la magharibi ya Kenya wametoa wito wa umoja wa eneo hilo kabla ya uchaguzi mkuu ujao, wakisema umoja wa kisiasa utaimarisha uwezekano wa kuwa na nafasi katika serikali ijayo. Viongozi hao wakiongozwa na waziri Wycliffe Oparanya, walikariri kuwa umoja wa eneo hilo ni muhimu katika kupigania nafasi kwenye ulingo wa siasa za kitaifa na kuhakikisha maslahi ya eneo hilo yanalindwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive