Skip to main content
Skip to main content

Siasa za uchaguzi Samburu

  • | Citizen TV
    1,212 views
    Duration: 3:19
    Siasa za mwaka 2027 zimeonekana kutokota, wanasiasa mbalimbali wakitoana kijasho kumenyania kutawazwa na wazee wa jamii ya Wasamburu, kama njia ya kusaka uungwaji mkono wa mapema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027.Hatua hiyo imeonekana kuzua mipasuko ya kisiasa licha ya kusalia na zaidi ya miezi ishirini kabla ya uchaguzi huo.