Skip to main content
Skip to main content

Siasa za UDA Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    5,271 views
    Duration: 1:05
    Gavana wa Kaunti ya Kirinyaga,Anne Waiguru alihimiza eneo la Mlima Kenya kuendelea kumuunga mkono Rais William Ruto, akionya kuwa kuhamia upinzani kunaweza kuligharimu eneo hilo ushawishi wake huku wito ukizidi kuongezeka wa kumtaka azingatiwe kwa nafasi ya Naibu Rais mwaka 2027.