Sifa za mji wa Nyeri

  • | Citizen TV
    216 views

    Kila mji una sifa zake, na mji wa Nyeri sio tofauti. Moja ya sifa za mji huu ni kuwa siku za juma pili, huwa kuna upungufu wa watu na shughuli za biashara mjini. Lakini barabara moja mjini Nyeri huwa na shughuli si haba siku hii kwani barabara hii hugeuka na kuwa soko. Barabara yenyewe ikiwa ni barabara ya Gakere. Mwandishi wetu Martin Munene alizuru Gakere na kushuhudia shughuli za biashara katika barabara hiyo