- 8,046 viewsDuration: 2:46Katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna ameponea kwa muda shoka la kamati ya nidhamu ya chama hicho baada ya kamati hiyo kumwongezea muda wa kujibu mashtaka manane yanayomkabili. Sifuna kupitia waraka wake kwa mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga amekana madai ya kukosa nidhamu chamani, akitaka siku 14 zaidi za kujitayarisha kujitetea.