Skip to main content
Skip to main content

Sifuna arejea mahakamani kuzuia kuondolewa ODM

  • | Citizen TV
    5,431 views
    Duration: 1:49
    Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna amerejea tena mahakamani kuzuia kuondolewa kwake kama katibu mkuu wa chama hicho cha chungwa. Sifuna ameiambia mahakama kuwa hakupewa nafasi ya kujieleza na notisi iliyotumwa hivi majuzi ilimfikia wakati wa likizo ya Pasaka. Sasa anaiitaka mahakama kusitisha kikao hicho.