- 717 viewsDuration: 1:55Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna na wandani wake wametangaza kwamba hawatashiriki mkataba wowote wa kabla ya uchaguzi utakaopuuza Kongamano la Kitaifa la Wajumbe wa ODM. Akihutubia msururu wa mikutano Magharibi mwa Kenya Jumapili, Sifuna alisema ODM na UDA lazima zitekeleze kikamilifu ajenda 10 kama ilivyoidhinishwa na ripoti ya NADCO. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive