| SIHA NA MAUMBILE | Dkt. Job Momanyi anafafanua mengi kuhusu TB ya tumbo

  • | Citizen TV
    665 views

    Watu wengi wanafahamu TB ya mapafu maarufu kifua kikuu bila kujua kwamba TB inaweza kuathiri kiungo chochote cha mwili isipokuwa vichache mno kama vile kucha na nywele.TB ya tumbo ikionekana kuchukua nafasi ya pili miongoni mwa TB zinazohangaisha watu sana baada ya kifua kikuu. Katika siha na maumbile hii Leo Daktari Job Momanyi wa kituo cha Matibabu cha equity Afya Ruaka anafanunua mengi kuhusu TB ya tumbo.