- 68 viewsUpimaji wa msimbojeni wa DNA umepata umaarufu sana na vituo vya afya vimeanza kutoa huduma hizi humu nchini. Hata hivyo, kwa hospitali ama kituo cha afya kuweza kutoa huduma hizi kwa ubora, vifaa vya kisasa vya matibabu ni muhimu sana pamoja na wataalamu wenye ujuzi. Kwenye Siha na Maumbile leo tunaangazia namna Benki ya Equity inavyosaidia kununua vifaa mbalimbali vya kisasa kwa vipimo hivi.