Siha na Maumbile | Saratani ya mapafu

  • | Citizen TV
    778 views

    Saratani ya mapafu imeorodheshwa kuwa miongoni mwa saratani zinazoathiri watu wengi zaidi kote ulimwenguni, baadhi ya utafiti ukiiorodhesha kama ya pili inayochangia vifo vingi duniani. Mwanahamisi Hamadi alizungumza na Dkt joseph thoya wa kituo cha matibabu cha equity afia Malindi na kutuandalia ufafanuzi wa kina kuhusiana na saratani hii katika Makala ya siha na maumbile yanayofuata sasa.