Skip to main content
Skip to main content

Siha na maumbile | Wataalamu wahimiza unyonyeshaji wa maziwa ya mama

  • | Citizen TV
    122 views
    Duration: 5:14
    Maziwa ya mama ni chakula kamili na salama zaidi kwa mtoto mchanga huku wataalamu wa afya wakishauri mtoto kunyonyeshwa bila kupewa chakula chochote kile kwa miezi sita ya kwanza baada ya kuzaliwa. Hii leo katika siha na maumbile Jacinta Mburu muuguzi kutoka Equity Afia anatueleza mengi kuhusu umuhimu wa kunyonyeshWa kwa mtoto na mama na yapi ya kuzingatia ili manufaa yapatikane.