Siku ya 12 ya mgomo wa madaktari

  • | Citizen TV
    395 views

    Hali katika hospitali za umma huenda ikazidi kuzorota iwapo maafisa kliniki watatimiza vitisho vyao na kuwaunga madakatari kwa mgomo wiki ijayo. Maafisa hawa kliniki wametoa ilani ya mgomo kuanzia Jumatatu