Skip to main content
Skip to main content

Siku ya Bajeti Afrika Mashariki: Bajeti ‘ya kipekee’ Tanzania

  • | BBC Swahili
    5,455 views
    Duration: 2:56
    Mawaziri wa fedha kutoka nchi za Afrika Mashariki wanatarajiwa kuwasilisha makadirio ya bajeti ya mwaka ujao wa fedha wa 2026/2027 Alhamisi Juni 11, wakiangazia mipango ya matumizi na mapato ya nchi zao, pamoja na vipaumbele vya kila taifa katika juhudi za kukuza uchumi na kuimarisha maisha ya wananchi. - Je Wananchi watarajie nini? @pmwangangi_ anaelezea - - - #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw