Siku ya elimu imeandaliwa kwa mara ya kwanza eneo la Nyamira

  • | Citizen TV
    205 views

    Huku kaunti ya Nyamira ikiandaa kwa mara ya kwanza siku ya kuwasherehekea mabingwa wa masomo katika kaunti hiyo, gavana wa kaunti hiyo Amos Nyaribo imeahidi kuwekeza zaidi kwenye elimu ya wanafunzi wa chekechea ili kuweka msingi bora kwa wanafunzi hao