Siku ya Ukimwi duniani yaadhimishwa nchini

  • | KBC Video
    20 views

    Serikali imewapuzilia mbali wale wanaokosoa halmashauri ya afya ya jamii, akisisitiza utekelezaji wake utawafaidi wote.Akiongea leo katika kaunti ya Meru wakati wa madhimisho ya siku ya ukimwi duniani, waziri wa afya Susan Nakhumicha pia alipongeza juhudi mbali mbali za jamii za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya HIV na ugonjwa wa Ukimwi.Joseph Wakhungu na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News