Simba na Yanga kurudi Uwanjani

  • | VOA Swahili
    63 views
    Timu za Simba na Yanga zinarudi tena uwanjani Ijumaa na Jumamosi kuendeleza safari ya kutafuta tiketi ya kucheza robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika, watani hao wa jadi kila kila mmoja bado ana nafasi kufuzu huku mechi zitakazochezwa wikiendi hii zikitarajiwa kutoa uelekeo wa ufaulu wao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.