Simon Lokwacharia aachiliwa baada ya kifungo cha miaka 25 kwa hatia anayoshikilia hakutenda

  • | Citizen TV
    5,395 views

    Mtazamaji hebu tafakari haya, unatumikia kifungo cha miaka 25 gerezani kwa kosa usilojua. Ndio yaliyomfika simon Lokwacharia mwenye umri wa miaka 49 aliyeachiliwa Jumapili baada ya miaka 25 gerezani kwa kukamatwa ndani ya gari lililoibwa. Simon anasema alikuwa amebebwa na rafikiye akielekea kumchukua mpenziwe ila hakujua kuwa gari walimokuwa ndanil ilikuwa limeibiwa na polisi walikuwa wakilitafuta.