Siri moja ya mafanikio ya Simba ya Atlas na viwanja vyao vya mazoezi

  • | BBC Swahili
    402 views
    Imesalia wiki moja kabla ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kuanza nchini Ivory Coast. Morocco ambayo imekuwa timu ya kwanza ya Kiafrika kufika nusu fainali ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 ni miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kunyanyua kombe hilo. Siri moja ya mafanikio ya Simba ya Atlas ni viwanja vyao vya mazoezi maarufu duniani. Mwandishi wa BBC Michezo anavielezea kwa undani. #bbcswahili #ivorycoast #afcon Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw