Skip to main content
Skip to main content

'Siri ya Mapiramidi'

  • | BBC Swahili
    5,509 views
    Duration: 7:35
    Kwa maelfu ya miaka Mapiramidi yamesimama katikati ya jangwa la Misri, yakivutia watafiti, wanahistoria na wasafiri kutoka kila pembe ya dunia. Wapo wanaodai yalijengwa na viumbe kutoka sayari nyingine, wengine wanaamini yalikuwa maghala ya nafaka. Lakini je ukweli ni upi? Leo, tunaangazia siri ya kwa nini piramidi za Misri zilijengwa na jinsi zilivyobadilika kuwa moja ya maajabu makubwa ya dunia katika historia ya mwanadamu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw