Skip to main content
Skip to main content

Siri za ndege mpya ya Air Force One inayombeba Rais Donald Trump

  • | BBC Swahili
    170,228 views
    Duration: 2:12
    Inaonekana kama ndege ya kawaida ya kifahari, lakini inaweza kufanya mengi zaidi. Kuanzia kujaza mafuta ikiwa angani hadi kuwa kituo cha amri wakati wa vita au dharura, hii ndiyo ndege mpya ya Air Force One ambayo Rais Donald Trump ameisifu kuwa miongoni mwa ndege za kifahari zaidi duniani. Je, ni siri gani nyingine zinaifanya ndege hiyo kuwa ya kipekee zaidi? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw