- 22,287 viewsDuration: 1:39Licha ya kuitwa "mchawi", mtaalamu wa nyoka na wanyama watambaao Taiwo Okikiola anaendelea kutumia mitandao ya kijamii kuelimisha watu kuhusu uhifadhi wa nyoka na kuwafundisha namna ya kuzuia vifo vinavyotokana na kuumwa na nyoka wenye sumu barani Afrika. #bbcswahili #nigeria #snakegirltaiwo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw