Soipan : Wakenya wanafaa kujua ya kwamba miti ni muhimu sana kwa kuzuia majanga

  • | KBC Video
    3 views

    Soipan Tuya : Watu 61 waliaga kule Mai Mahiu kwa sababu ya mambo ya 'landslides'. Wakenya wanafaa kujua ya kwamba miti ni muhimu sana kwa kuzuia majanga kama haya. Tunaweza kuimarisha uchumi kupitia kwa miti.