Somalia na Uturuki zasaini mkataba wa ulinzi wabahari

  • | VOA Swahili
    372 views
    Somalia na Uturuki zafanya mkataba wa ulinzi wa bahari wakati Ethiopia yakubaliana na Somaliland kuweka jeshi la majini. Lakini je hatua hii itakuwa na athari au faida gani katika ukanda wa Afrika Mashariki? #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.